Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo amekutana na Naibu wa Katibu Umoja wa Mataifa Amina Mohammed na kufanya nae mazungumzo, huku akiwasilisha salami kutoka kwa Katibu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutteres.

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Septemba 12, 2021
Mbunge Biharamulo awafuta machozi wananchi wake