Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 19 Januari, 2022 ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Mawaziri na Manaibu Waziri wa wizara zote wakishiriki katika kikao na Rais Samia.
Kibaha-Segera kupeta na njia nne
Makonda kitanzini kwa Jinai