Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma kabla ya kuzindua Mfumo wa usafirishaji wa dharura kwa Wajawazito na Watoto wachanga M-MAMA katika hafla iliyofanyika Viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi wa M-MAMA Bi. Dolorosa Duncan kuhusu Mfumo wa usafirishaji wa dharura kwa Wajawazito na Watoto wachanga M-MAMA kabla ya kuuzindua katika hafla iliyofanyika Viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimpongeza Msanii Christian Bella kwenye uzinduzi wa Mfumo wa usafirishaji wa dharura kwa Wajawazito na Watoto wachanga M-MAMA katika hafla iliyofanyika Viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma 
Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma wakiwa katika viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma kuhudhuria hafla ya uzinduzi wa Mfumo wa usafirishaji wa dharura kwa Wajawazito na Watoto wachanga M-MAMA uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan

Jamii yasisitizwa kuchunguza afya kila mara
Forbes yaanika utajiri wa wasanii 2022, Diamond aweka wazi?