Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, Leo Agosti 13, 2021 amekutana na Mhandisi Ahmed El Sewedy Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Elsewedy Electric ya Nchini Misri mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma na kufanya nae mazungumzo.

Naibu Ulega atoa maagizo kukomesha wizi wa mifugo
Daktari bingwa wa magonjwa ya watoto afariki Dunia