Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo kwa njia ya Mtandao na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya Charles Michel, leo Julai 12,2021 Ikulu Jijini Dodoma.

Yakubu kutua Young Africans?
Rais Dkt. Mwinyi awaapisha Makatibu wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu