Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo  Juni 22,2021, alipokua akielekea Nchini Msumbiji  kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya SADC unaotarajiwa kuanza kesho.

Uelewa wa sheria wageuka 'janga'
Kihongosi Katibu Mkuu mpya UVCCM