Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kesho Julai 16, 2021 anatarajia kufanya ziara ya kitaifa ya siku mbili nchini Burundi kwa mwaliko wa Rais Evariste Ndayeshimiye.

Adha Rais Samia atafanya mazungumzo na mwenyeji wake, pia atashuhudia utiaji saini wa hati za makubaliano na kuzungumza na vyombo vya habari

Biashara Utd kucheza Kombe la Shirikisho Afrika
Rais Samia kushiriki maonyesho ya kimataifa Dubai