Baada ya hekalu la wayahudi la mti wa uzima mjini Pittsburg  kuvamiwa na kuwamiminia risasi waumini waliokuwa katika sherehe ya ubatizo na kuua watu 11.

Mwanamziki maarufu kutoka marekani Pharrell William ameibuka na kumkosoa  Rais Donald Trump.

Pharrell amemkosoa Rais Trump kwa kitendo chake cha kupiga wimbo wake wa ‘Happy’ wakati akihutubia wananchi mjini hapo jumamosi ya October 27 kwenye moja ya mikutano yake masaa machache baada ya shambulio hilo la kikatili.

Aidha Kitendo hicho kilimkasirisha  mwaandaaji huyo wa muziki na kuamua kuandika barua ya kumpiga marufuku na kuacha mara moja matumizi ya wimbo wake kipindi cha majonzi

Mwanasheria wa Pharell alieandika  barua hiyo na kusisitiza kuwa  hakukuwa na maana ya kupiga wimbo huo kwenye mkutano  wake na ukizingatia kuwa hana kibali cha kutumia  wimbo huo  hivyo amemtaka Trump kusitisha na kuacha mara moja.

(On the day of the mass murder of 11 human being at the hand of deranged nationalist you played his song  happy  to a  crowd  at a political  event in Indian) Aliandika mwanasheria huyo.

Askofu ataka mishahara ikatwe zaka moja kwa moja
Zitto aitwa polisi Kigoma