Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Godfrey Zambi jana amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi, Bi Oliva Vavunge kutokana na Kutosimamia Mradi wa Umwagiliaji na Ujenzi wa Banio katika Kijiji cha Narunyu Kata ya Kiwalala Lindi…

Picha na Abdulaziz Lindi

Gumzo la Mshahara wa Rais Magufuli laibukia Bungeni, Mbunge wa Chadema amfananisha na Nyerere
Bungeni: Wabunge wa CCM, Ukawa wakosoa uamuzi wa Bunge kurudisha Bilioni 6 kwa Magufuli