Na Cosmasy William Choga

Mechi za kufuzu kombe la Dunia zimeanza rasmi hapo jana kwa michezo kadhaa kupigwa kwa mataifa ya Afrika ambapo Libya iliwaalika Gabon,Misri ikiwaalika Angola na Mali yenyewe ikiwa mwenyeji wa Rwanda.

Egypt iliweza kuibuka na ushindi wa bao moja katika mchezo wake dhidi ya Angola bao pekee la ushindi ilikipachikwa nyavuni na mchezaji Mohamed Magdi Afsha kwa mkwaju wa penati.

Libya iliweza kuibuka na ushindi wa mabao mawili dhidi ya moja katika mchezo wake dhidi ya Gabon ambapo mabao hayo yaliwekwa kambani na Ali Salama pamoja na Sanad Al Warfali wakati la Angola likifungwa na Andre Biyogho Poko.

Mali yenyewe iliweza kuibuka na ushindi wa bao moja katika mchezo wake dhidi ya Rwanda ambapo bake lake hilo pekee la ushindi likifungwa na mchezaji Adama Traore.

Michezo mingine inatarajia kuendelea hii leo ambapo Kenya itavaa na Uganda,Congo DR itavaana na Tanzania,Niger itavaana naBurkina Faso,Namibia itavaana na Congo,Madagascar itavaana naBenin,Algeria itavaana na Djibouti na Morocco itavaana na Sudan

RATIBA YA MECHI ZOTE KUFUZU KOMBE LA DUNIA LEO.

16:00 Kenya vs Uganda
16:00 Congo DR vs Tanzania
19:00 Niger vs Burkina Faso
19:00 Namibia vs Congo
19:00 Madagascar vs Benin
22:00 Algeria vs Djibouti
22:00 Morocco vs Sudan

Asia – WC Qualification Asia
13:14 Japan vs Oman
19:45 Korea Republic vs Iraq
19:00 Iran vs Syria
19:45 UAE vs Lebanon
21:00 Australia vs China PR
21:00 Saudi Arabia vs Vietnam

Europe – WC Qualification Europe

19:00 Georgia vs Kosovo
21:45 Sweden vs Spain
21:45 Italy vs Bulgaria
21:45 Lithuania vs Northern Ireland
21:45 Czech Republic vs Belarus
21:45 Estonia vs Belgium
21:45 Andorra vs San Marino
21:45 Hungary vs England
21:45 Poland vs Albania
21:45 Iceland vs Romania
21:45 Liechtenstein vs Germany
21:45 North Macedonia vs Armenia

Rais Samia atoa dola 100,000
Habari kubwa kwenye magazeti leo, Septemba 2, 2021