Uzinduzi wa kampeni za UKAWA umeendelea kukubwa na changamoto baada ya serikali kukataa ombi lao la kutumia viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam Jumamosi, Agosti 29.

Katazo hilo la serikali limetajwa katika barua ya iliyosainiwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Claud Mpelembwa imeeleza kuwa ombi la Ukawa limekataliwa kwa kuwa tayari manispaa hiyo ilikuwa imeshatoa uwanja huo kwa mtu mwingine siku hiyohiyo.

Barua

Awali, Ukawa walikataliwa kutumiwa uwanja wa Taifa kwa sababu zilizoelezwa kuwa uwanja huo wa serikali hauruhusiwi kutumika kwa shughuli za kisiasa.

Wiki iliyopita, CCM walifanya uzinduzi wa kampeni zake ulikuwa wa kihistoria katika uwanja huo wa Jangwani.

Baada Ya Benzema, Sasa Ni Cavani
Wakenya Wabainika Kutumia Dawa Za Kuongeza Nguvu