Show: Ruby alivyopendezesha shindano Miss Ilala 2016
8 years ago
Msanii wa Bongofleva, Ruby ameupamba usiku wa kumsaka mshindi wa taji la Miss Ilala 2016 ambapo mshiriki namba 13, Julitha Kabete ametangazwa kuwa mshindi. Bofya hapa kuitazama Show ya Ruby