Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama Cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema kuwa anaenda kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM) si kufuata vyeo bali ameangalia jukwaa huru na lenye malengo ya kuwatumikia wananchi na si kutumika chama.

“Mimi siendi (CCM) kufuata vyeo wala kutaka kuteuliwa kuwa katika uongozi wowote, bali nimefuata jukwaa lenye malengo ya kuwatumikia wananchi, na si kutumikia chama, ninataka niache alama kwa vitendo na si porojo za maneno,” Mtatiro

Kwa taarifa zaidi endelea kutufatilia Dar24Media

Bashir kugombea tena urais Sudan
Kuanzia leo mimi ni balozi wa Rais Dkt. Magufuli- Julius Mtatiro

Comments

comments