Mtengenezaji sigara maarufu nchini Cuba ametengeneza msokoto mrefu zaidi wa sigara duniani maalumu kwa kusherehekea miaka 90 ya kuzaliwa kwa Fidel Castro.                                                                                                       Mtaalamu wa tumbaku Jose Castelar ameitengeneza sigara hiyo kwa heshima ya Fidel Castro na Sigara hiyo ina mita 90 na ilimchukua takribani siku 10 kuutengeneza msokoto huo akisaidiwa na wasaidizi wake

Mo Farah Aweka Rekodi Kwa Kushinda Mbio Za Mita 10,000
Kevin Hart avuta Jiko