Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemshukuru Rais wa Jamhuri wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha kuanza kwa Utekelezaji wa Mradi wa maji katika mji wa Sikonge kutoka ziwa Victoria ikiwa ni miongoni mwa Miradi mikubwa ya miji 28.

Waziri Aweso ametoa shukran hizo wakati Rais Samia alipotembelea mradi huo katika mji wa Sikonge Tabora.

Waziri wa Maji Jumaa Aweso

Miradi hii inatarajiwa kusainiwa wakati wowote, hatua zote zimekamilika na kushuhudiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.

Rais wa Samia Suluhu Hassan
Wananchi wa Sikonge

Kocha Baraza ataja udhaifu wa Henock Inonga Baka
Nasreddine Nabi aihofia Mbeya Kwanza FC