Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo tarehe 7 Novemba 2021 amemuapisha Perreira Ame Silima kuwa Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya visiwa vya Comoro.

Uapisho huo umefanyika Ikulu ya Chamwino Jijini Dodoma.

Uvamizi wa hifadhi watishia utalii
Waziri Mkuu anusurika jaribio la mauaji Iraq