Klabu ya Simba SC huenda ikaanza kutangaza wachezaji waliowasajili katika kipindi hiki cha Dirisha la Usajili, kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu na Michuano ya Kimataifa msimu wa 2022/23.

Simba SC imekua kimya katika usajili, baada ya kutambulisha Mshambuliaji kutoka nchini Zambia Moses Phiri mwezi uliopita, akitokea Zanaco FC.

Simba SC imeweka ujumbe kwenye kusara zake za mitandao ya kijamii, ambao unaonyesha namna walivyojiandaa kutangaza orodha ya wachezaji waliosajiliwa.

โ€œMwaka huu utambulisho wetu sio tena wa kusimamisha nchi bali bara zima la Afrika ๐Ÿ˜ƒโ€

โ€œ๐˜ผ๐™ฃ๐™–๐™ฎ๐™š๐™˜๐™๐™š๐™ ๐™– ๐™ข๐™ฌ๐™ž๐™จ๐™๐™ค ๐™๐™ช๐™›๐™ช๐™ง๐™–๐™๐™ž ๐™ฏ๐™–๐™ž๐™™๐™ž. #NguvuMojaโ€

Kiswahili chaitembeza Mahakama kifua mbele
Yassin Mustafa kusepa Young Africans