Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika uliozikutanisha Simba ya Tanzania na Al Masry ya Misri uliochezwa Jumatano Machi 7, 2018 kwenye Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi Milioni Themanini na Tano Elfu Arobaini na Tano(85,045,000).

Mchezo huo uliingiza mashabiki Elfu Kumi na Nne Mia Saba Tisini na Nane(14,798).

VIP A waliingia Watazamaji 250 kwa kiingilio cha Shilingi 20,000 na kupatikana jumla ya shilingi 5,000,000, VIP B na C waliingia Watazamaji 557 kwa kiingilio cha shilingi 15,000 ikapatikana jumla ya shilingi 8,355,000, majukwaa ya rangi ya Machungwa, Bluu na Kijani waliingia Watazamaji 13,644 kwa kiingilio ncha shilingi 5,000 imepatikana jumla ya shilingi 68,220,000

VAT    12,972,966.10

Selcom  5,017,655.00

TFF        3,352,718.94

Uwanja  10,058,156.83

Simba   43,585,346.28

Gharama za mchezo  6,034,894.10

BMT  670,543.79

CAF   3,352,718.94

Mzunguko wa 22 ligi kuu Tanzania bara wikiendi hii
Young Africans Vs Township Rollers yaingiza milioni 56,245,000