Klabu ya soka ya Simba imetoa taarifa ikieleza klabu hiyo kuachana na kocha wake Mkuu Sven Vanderbroeck leo Januari 7,2020.

Jana, klabu ya Simba ilicheza na FC Platinum ya nchini Zimbabwe katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika ambapo Simba ilishinda mchezo huo kwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Platinum na kuifanya Simba kuingia katika hatua ya makundi ya michuano hiyo.

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Januari 8, 2021
Simba SC kuangukia kwa TP Mazembe, Zamalek, Kaizer Chief