Mimi ni mama wa watoto wawili, Ndoa yangu ina miaka 20 sasa

Wakati nafunga ndoa na mume wangu nililazimika kuacha kazi yangu na kuchagua kuwa mama mlezi wa familia yetu.

 Mume wangu ni muajiriwa wa serikalini, Akiongoza ofisi ya sharia katika mkoa mmoja hapa Tanzania

Kwa miaka yote ya ndoa yetu tumeishi kwa furaha huku tukitengeneza marafiki wengi.

Tumekuwa ni familia yenye upendo na furaha na wengi walitufanya kama mfano wa kuigwa na wengine hata tukiwasaidia kusuluhisha migogoro mbalimbali kwenye ndoa zao kwa kutumia hekima zetu tulizojaliwa.

Nakumbuka mwaka 2015 nilijifungua motto wetu wa pili tukampa jina Victoria.,

Nilijifungua kwa njia ya upasuaji hivyo nilibaki kwa muda kidogo kuuguza kidonda, na kwakuwa ulikuwa ni upasuaji mkubwa basi ilitulazimu kulala vyumba tofauti na mume wangu kwa muda mrefu kidogo, mimi nikiendelea kuwa chini ya uangalizi wa wauguzi.

Taratibu mume wangu akaanza kubadilika kitabia, akawa anachelewa kurudi nyumbani na hakuwa kabisa na muda na mimi nilipomuuliza akanijibu sikuwa na faida hata akiwahi haimsaidii kitu.

Nilianza kufuatilia mienendo ya mume wangu kila aliporudi nyumbani usiku alitumia muda mwingi kuongea na simu chumba alichokuwa akilala, kwa masikiom yangu nilimsikia akimsifia mwanamke kwa penzi tamu alilompa katika moja kati ya mazungumzo yake.

Nikajua mume wangu amepata mwanamke mwingine.

Moyoni niliumia sana, nikakosa Amani rohoni nikaamua siku moja kumuuliza mume wangu kama kuna kitu nimemkosea na hapo ni kama vile nilichokoza moto

Mume wangu aliniongelesha kwa hasira na akaniambia wazi kuwa anataka kumuoa rafiki yangu kipenzi Ashrati ambaye nilimfanya kama ndugu

Maneno hayo yalinitoa machozi niliamua kumpigia simu Ashrati kumuuliza kwanini amenifanyia hivyo, jioni mume wangu alipotoka kwa Ashrati na kuambiwa kuwa nilipiga simu alikasirika sana akarudi na kunifukuza nyumbani

Hakujali hali yangu kiafya kwa wakati huo, niliondoka nyumbani na watoto wangu huku huyu mmoja akiwa bado mchanga na kurudi kijijni

Maisha yakawa magumu sana kwani matibabu yangu yalihitaji gharama kubwa na sikuwa na pesa yoyote, wazazi wangu walinihurumia sana, walinitia moyo na kunifariji. Niliamini kweli kikulacho kinguoni mwako, maana sikuwahi kuhisi kama siku moja rafiki niliyemuamini na kumsaidia kama Ashrati angekuja kunichukulia mume wangu na kuniacha katika hali ngumu kama ile

Nikiwa kijijini siku moja wakati nasikiliza redio,  nilisikia habari za Dkt. Kiwanga kuwa anasaidia matatizo mbalimbali ya kiafya na kijamii ikiwemo ndoa. Nilivutiwa sana na huduma zake jinsi ambavyo zilikuwa zikielezewa na mtangazaji wa kipindi hicho cha “TIBA YETU”.

Nilichukua namba ya simu ya Dkt. Kiwanga iliyokuwa ikitajwa na mtangazaji ya +254 769404965 na kumpigia, Alipopokea nilizungumza naye na kumueleza shida  yangu kwani mume wangu nilikuwa nampenda sana

Dkt Kiwanga akaahidi kunisadia na nilienda ofisini kwake ambapo pia alinisaidia dawa za asili za kutumia kutibu kidonda changu cha upasuaji ndani ya siku tatu tu  nikapona kabisa

Katika siku hizo hizo mume wangu alifunga safari na kuja kijijini kwetu kuomba msamaha na alinichukua kunirudisha nyumbani na kuendelea na maisha yetu ya ndoa

Sasa imepita miaka sita tangu Dkt Kiwanga anisaidia kurudisha ndoa yangu na tunaishi kwa Amani na furaha na mume wangu

Kwa suluhisho la matatizo mbalimbali ya kijamii na kiafya watafute kwa simu namba  +254 769404965  au tembelea website yao www.kiwangadoctors kujua mengi.

Simulizi: Kidogo nipoteze Mume baada ya kujifungua kwa upasuaji
Eddy Kenzo mwanamuziki bora wa kiume Afrika Mashariki.