Mimi ni mama wa watoto wawili. Nilifunga ndoa na mume wangu miaka nane iliyopita. Maisha yetu baada ya ndoa yalikuwa ni ya furaha mno,. Mungu akatujalia watoto wawili wa kike na kiume ambao waliongeza furaha zaidi kwenye ndoa yetu.

Mashaalah watoto wetu wazuri walipendwa na kila mtu mtaani kwetu, kila mmoja alitupongeza kwa kufanana nao na walipendwa zaidi kwa tabia njema na adabu kwa kila mtu.

Mimi ni msomi wa PHD niliyeajiriwa kufundisha chuo kimoja hapa Nairobi, Mume wangu ni meneja wa Benki kubwa nchini Kenya aliyesifika kwa ubobezi wa masuala ya biashara na uwekezaji akitumika kama mshauri mkuu wa masuala ya kiuchumi serikali.

Tatizo lilianza miaka mitatu iliyopita baada ya kumuandikisha shule ya awali mwanetu wa kwanza, Baba yake alimlipia shule ya gharama kubwa ambayo ada yake ilifanana nay a mwanafunzi wa chuo kikuu.

Lakini mwanetu huyo hakuwa anaelewa chochote darasani. Walimu wake walitumia kila njia lakini ikashindikana, alikuwa wa mwisho darasani na Baba yake akaanza kunilaumu mimi kwa madai kuwa nimeshindwa kumlea vyema

Kipindi hicho motto wetu mdogo alikuwa hajafika umri wa kuanza shule bado. Mume wangu akaanza kumtenga yule mkubwa ambaye hakuwa anafanya vizuri darasani na kumpenda ziadi yule mdogo wa kiume.

Wakati mwingine alimuonesha chuki za waziwazi akimuongelesha kwa ukali hata pale motto alipokuwa ameenda kumdekea.

Kwakweli hali hii iliniumiza sana kwani sikuzoea kumuona mume wangu hivyo. Nilipiga moyo konde nikiamini labla uchovu wa kazi unamfanya kuwa katika hali hiyo.

Lakini shida iliongezeka zaidi baada ya huyu mdogo naye kuanza shule. Alikuwa na tatizo lilelile kama la dada yake, tena huyu mdogo ilikuwa mara kumi zaidi maana hata shuleni kwenyewe hakuwa anapenda kwenda. Muda wa kwenda shule alilia yaani ilikuwa ni ugomvi na alipokuwa shule alisumbua sana hakutaka kukaa darasani wala kumsikiliza hata mwalimu.

Mume wangu alichukia sana na kama kawaida yake alirudisha lawama kwangu kuwa nimewalea vibaya watoto wetu.

Alisema wanamdharirisha na alijisikia aibu msomi kama yeye kuwa na watoto aliowaita “vilaza” Kauli ile iliniumiza sana sikujua nifanye nini,

Mwanzoni nilihisi labla ni hasira za kawaida tu lakini mambo yakabadilika, mume wangu akaanza kurudi nyumbani usiku nilipomuuliza akanijibu hakutaka kero za watoto, Mume wangu hakuwa tena na muda na familia, Hata ilipofika weekend alitafuta msafara wa kwenda mradi tu asiwe karibu na sisi. Niliumia sana moyoni.

Siku moja nilipigiwa simu na mama mkwe wangu nilipopokea kanla hata ya salamu alinidaka kwa maneno mazito kuwa eti nilimroga motto wake ili anioe na nikamtafutia watoto kwa waganga madhara yake ndo haya nimewaletea matahira kwenye ukoo.

Nilipomuuliza mama kulikoni mbona anaongea hivyo alinijibu kuwa mume wangu alimwambia kuwa amemzalia watoto ambao hawana akili.

Kwakweli moyo ulikufa ganzi na kwa mara ya kwanza nikasema lazima nichukue hatua kurekebisha hili ili kuilinda ndoa yangu.

Nikaanza kutafuta watu mbalimbali wanishauri na bahati nzuri nilipomshirikisha shangazi yangu rafiki yangu aliyeitwa Grace aliniambia hilo ni jambo dogo ningemwambia muda wala isingefika huko.

Nikamuuliza kivipi, aliniambia kuna daktari wa mitishamba aliyeitwa Kiwanga ambaye alikuwa na uwezo wa kusuluhisha mzozo baina yangu na mume wangu.

Daktari yule alipatikana mjini Nakuru kwa hivyo nilifunga safari na kufika katika afisi zake tayari kwa usaidizi

Nilimuelezea historia ya tatizo langu hadi lilipotengeneza mgogoro kwenye ndoa yangu.

Alinipa mafuta ambayo alinishauri niyamimine kwenye vitabu na madaftari ya wanangu.

 Nilirejea nyumbani na kufanya nilivyoelekezwa.

 Baada ya siku tatu tulirudiana na mume wangu na aliomba msamaha kwa yale yalikuwa yamejitokeza.

Watoto wetu waliporejea shuleni matunda ya daktari Kiwanga yalikuwa yameanza kuonekana kwani kifungua mimba alikuwa nambari moja katika mtihani wa mwisho wa muhula. Na mdogo wake hakuachwa nyuma kwani alipokea zawadi  nyingi kwenye mahafali ya kufunga shule

Mume wangu hakuamini haya.

Daktari Kiwanga ana uwezo wa kumaliza majini, kumaliza msongo wa mawazo yanayokusumbua na mambo mengine yanayoonekana kuwa kikwazo katika maisha yako. Anatibu magonjwa kama vile kifafa, kifua kikuu na mnengineyo kwa muda wa siku tatu pekee. Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965 .

DJ Venture awapa somo Wadau wa Muziki Tanzania
Sabaya kukata rufaa, wakili wake afunguka