Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi wote watakaohusika kusimamia Fedha za Miradi ya Maendeleo ya wananchi kutobadilisha matumizi ya fedha hizo bila maelewano, kwa kuwa fedha zote zinalenga maendeleo kila kona ya nchi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi.

Rais Samia ameyasema hayo katika Uzinduzi wa Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambao dhidi ya Uviko-19 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Jiini Dodoma.

Tanzania ya Amani
Zaidi ya watu Laki Nane wamepata Chanjo ya UVIKO-19 Nchini Tanzania