Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai anafikiria hatua za kinidhamu za kumchukulia Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kufuatia kauli za kejeli dhidi ya Spika na Bunge kwa ujumla.

Katika taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Bunge, imeeleza kwamba kauli hizo zimetolewa na Mbunge huyo Machi 17, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano wa Joshua Nassari ambaye amevuliwa Ubunge wiki iliyopita.

Aidha, katika mkutano huo, Lijualikali alishangazwa na kitendo cha Spika kumvua ubunge Nassari wakati Mbunge huyo alipodai kuwa alitimiza wajibu wake wa kulitaarifu bunge juu ya matatizo anayopitia,

Lady Jay Dee na Gardner warejesha upendo, ampa ujumbe mnono
Afariki dunia baada ya Simba kuishinda AS Vita, Simba SC yatuma salamu za pole