Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na mwenzie Emmanuel Masonga ambaye ni kiongozi wa Chadema Nyanda za Juu Kusini wameachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Mbeya.

Rais amfuta kazi waziri wa sheria

Comments

comments