Mechi kubwa ya watani wa jadi iliyongojwa kwa hamu sana na watazamaji itachezwa mwisho wa wiki hii na mchezaji ghali wa ligi ya Uingereza kwenye historia Rahim Sterling amejipanga kucheza dhidi ya mchezaji mpya Matteo Darmian wa Manchester United.banner_92
Hata kama Manchester United walisafiri kwenda Moscow kucheza mechi yao ya Ligi ya Mabingwa katikati ya wiki – wasingeweza kukabiliana na Manchester City endapo Sergio Aguero na David Silva wasingekuwa majeruhi.
Meneja wa Tottenham aliyepita Harry Redknap anaamini kikosi cha Van Gaal’s kitashinda pambano hili la mechi ya watani wa jadi. Endapo United wataweza kupata goli la mapema basi hakika wataondoka na pointi siku hiyo.
Jumamosi, 24 Octoba 2015
04:30 Jioni – Bayern Munich vs. FC Koln
05:00 Jioni – Aston Villa vs. Swansea
05:00 Jioni – Leicester vs. Crystal Palace
05:00 Jioni – Stoke vs. Watford
05:00 Jioni – West Ham vs. Chelsea
05:00 Jioni – Celta vs. Real Madrid
06:00 Jioni – South Africa vs. New Zealand
07:30 Usiku – Arsenal vs. Everton
09:30 Usiku – Sevilla vs. Getafe
Jumapili, 25 October 2015
03:00 Mchana – Sunderland vs. Newcastle
05:05 Jioni – Bournemouth vs. Tottenham
05:05 Jioni – Manchester United vs. Manchester City
07:00 Usiku – Argentina vs. Australia
07:15 Usiku – Liverpool vs. Southampton
08:00 Usiku – Fiorentina vs. Roma
09:00 Usiku – Lazio vs. Torino
10:30 Usiku – Atletico Madrid vs. Valencia
10:30 Usiku – Chievo vs. Napoli
Na macho yote yataelekezwa kwenye shindano la Rugby pindi ambapo South Africa itakapowavaa New Zeland na Argentina kuwavaa Australia kwenye Nusu fainali! Tuna matukio mengi, mashindano yote pamoja na mengi yaliyopangwa kwaajili yako tafadhari usikose chochote!