Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Adelardus Kilangi kuwa mwanasheria mkuu wa Serikali(AG).

Taarifa hiyo iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Dkt. Kilangi umeanza leo Februari 1, 2018.

Pia, Rais Magufuli amemteua Paul Joel Ngwembe kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) kuanzia leo Februari 1, 2018.

Magazeti ya Tanzania leo Februari 2, 2018
Diva amfukuzia Akon