Lady Jaydee ameitaja talaka yake kutoka kwa aliyekuwa mume wake, Gardner G Habash, ni miongoni mwa mambo 4 anayoshukuru zaidi kwa mwaka 2016.

 

“Sitegemei tena kauli za nilikufanyaje sijui miaka kadhaa, au emoji zisizo eleweka. Utoto huooooooo . Mtu aki move on hana haja kufanya utoto wote huo , uki move on hujali chochote,” ameandika Jide.

(Funga Mwaka) Katika vitu vikubwa ninavyoshukuru 2016
Ni kutoka katika Cheti cha juu na kuingia Cheti cha chini ??
Bila kujali wanafikiria nini ???? Nilifanya hivyo kwa manufaa na furaha yangu , maisha yangu na familia yangu.Namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu kwani haikuwa kazi rahisi ukizingatia swala la kuogopa watu wata ku judge vipi. Baada ya battle ya nafasi ya takribani miaka miwili ?????????? Naomba makofi tafadhali ????
Sitegemei tena kauli za nilikufanyaje sijui miaka kadhaa, au emoji zisizo eleweka. Utoto huooooooo . Mtu aki move on hana haja kufanya utoto wote huo , uki move on hujali chochote. Kwa neema ya Mungu nawaombea Wote ambao hamja get over situations mbarikiwe mtoke kwenye kuwaza past, Maisha mbona ni matamu tu ukiamua
#KataaKuwaMtumwa
#ChaguaKuwaNaFuraha
#GutsOverFear
#Komando
#MoveOnNigga
?????????

Dar24: Tunakutakia Heri ya Mwaka Mpya 2017, hii ni ahadi yetu kwako
Harmonize afunguka juu ya ushindani ndani ya WCB