Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akiongoza Brassband ya Jeshi la Polisi Tanzania kutoa burudani katika Uzinduzi wa Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 katika kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

Mauzo ya R Kelly yapanda mara dufu
Sitaki utitiri wa Kamati:Rais Samia