Usiku wa December 28 2016 tuzo za WatsUp TV Africa Music Video Awards 2016 zilitangazwa Accra Ghana, washindi 22 walitangazwa kupitia Press Conference wakiwemo wasanii wa Tanzania waliofanikiwa kushinda tuzo hizo kwa mwaka 2016.

Kukujuza zaidi WatsUp TV Africa Music Video Awards (WAMVA) ni tuzo ambazo zinaandaliwa na WatsUP TV, zikiwa na lengo la kushawishi au kuhamasisha wasanii kufanya video za viwango vya juu pamoja na ubora.

Wasanii wa kitanzania walioshinda tuzo hizo ni pamoja na

Best Newcomer Video of the Year
Harmonize ft Diamond Platinium ( Badoo)

Best African RnB Video
Alikiba (Aje) Tanzania

Best African Collabo Video
Diamond ft AKA (Make we sing ) Tanzania

Best African group Video
Navy Kenzo (Kamatia ) Tanzania

Best African Male Video
Diamond Platinium ft Psquare ( Kidogo ) Tanzania

Best East African Video
Alikiba (Aje) Tanzania

Best African Music of the Year
Diamond Platinium ft PSquare (Kidogo) Tanzania

kwa mujibu wa mtandao wa Zionfelix.net ni kuwa washindi watafanya show katika tamasha la Made in Africa litakalofanyika 2017 Accra Ghana.

Fahamu maana halisi ya teknolojia ya 2G, 3G, 4G na 5G
Mwalimu atiwa mbaroni baada ya kuishi kinyumba na mwanafunzi wake.