Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika BADEA Dkt Sidi Ould Tah, wamesaini mkataba wa marekebisho wa mradi wa Barabara wa Wete Chake Chake pemba katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, wakisaini marekebisho ya mkataba wa Mradi wa Bararaba ya Wete – Chake Chake, Pemba katika hafla iliyofanyika, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, wakionesha marekebisho ya mkataba wa Mradi wa Bararaba ya Wete hadi Chake Chake, Pemba baada ya kusainiwa katika hafla iliyofanyika, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akimsindikiza Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, baada ya kumaliza hafla ya utiaji saini marekebisho ya mkataba wa mradi wa bararaba ya Wete hadi Chake Chake, Pemba iliyofanyika, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, baada ya kumaliza hafla ya utiaji saini wa marekebisho ya mkataba wa mradi wa bararaba ya Wete hadi Chake Chake, Pemba iliyofanyika, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro ikiwa na baadhi ya Wanyama, baada ya kumaliza hafla ya utiaji saini wa marekebisho ya mkataba wa Mradi wa Bararaba ya Wete hadi Chake Chake, Pemba iliyofanyika jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, baada ya kumaliza hafla ya utiaji saini wa marekebisho ya mkataba wa Mradi wa Bararaba ya Wete hadi Chake Chake, Pemba iliyofanyika jijini Dodoma.

Chanjo ya Malaria kutolewa kwa watoto
Habari kubwa kwenye Magazeti leo, Oktoba 7, 2021