Mfanyabiashara maarufu nchini Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Capital Group Limited, Chris Kirubi, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80 familia yake imethibitisha kifo cha tajiri huyo.

Hayati Kirubi, alisafirishwa kwenda nchini Marekani mwaka 2017 kwamatibabau ya miezi minne akisumbuliwa na saratani ya utumbo.

Itakumbukwa kwa kipindi cha mwaka 2017 Kirubi alisema kuwa Kwa saratani aliyopata ilibainika mapema kiasi cha kuweza kutibika na kuweza kudhibitiwa.

Wizi wa mafuta wakithiri Kigamboni,15 wakamatwa
Musukuma: Faini ya 10,000 ni nyingi tungeweka hata 2000