Mgunduzi wa Madini ya Tanzanite, Jumanne Ngoma amefariki dunia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam. Mwanae, Hassan Ngoma amethibitisha kutokea kwa kifo hicho.

Endelea kufuatilia Dar24 Media kwa taarifa zaidi

Video: Hizi ndizo changamoto zinazoikabili Serikali Mtandao - Micky Kiliba
Vifo vyaongezeka Ajali ya kuzama Boti mbili za Wahamiaji

Comments

comments