Mtangazaji maarufu wa habari za Kimataifa kituo cha Luninga cha Star TV/Radio Free Afrika, Samadu Hassani amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, taarifa kuhusu chanzo cha kifo chake bado hazijaelezwa.

Tunatoa pole kwa familia ya marehemu

Video: Kiherehere champonza Zitto, DCI aibua mapya Kibiti
Video: QBoy Msafi aeleza alivyomalizana na WCB