Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetangaza kuanza rasmi zoezi la usajili wa wamiliki wa Blogu, Majukwaa ya Mtandaoni (Online Forums), Redio pamoja na Televisheni za mtandaoni kuanzia leo Jumamosi, Aprili 21, 2018 kwa mujibu wa sheria.

Ambapo wamiliki wote wa huduma tajwa hapo juu wanatakiwa kupitia hatua za usajili kabla ya Mei 05, 2018 ambapo ada ya maombi ya usajili huo imetajwa kuwa ni 100,000.

Makonda aja na mradi mwingine kwa kina baba
Benki ya Dunia yaguswa na athari za mafuriko Dar