Simu za Smartphone zimeonekana kuwa ni vifaa muhimu sana na vya starehe kwa karibia kwa mtumiaji wa simu kwa sasa. Watumiaji wengi wa simu wa siku hizi wanapendelea kumiliki simu ambazo ni nzuri na nyepesi Tecno haijaawaacha mbali wateja wake, na hivyo wamejitahidi kuhakikisha kuwa wanaleta simu nzuri na zitakazokubalika sokoni mfano, Camon CX na Tecno Spark.

Kwa mara nyingine, Tecno inawaletea simu mpya, aina ya Phantom ambayao ni nzuri na yenye viwango vikubwa kuzidi ya ziilizokuwepo. Mambo ambayo tuyategemee kuwepo au kutobadilishwa katika ujio mpya wa simu hii ni kama.

Kutokuondoa tundu la Earphone

Kuweka USB type C

Kuweka umbo la flat nyuma ya simu

Kujaribu design tofauti za glasi zitakazowekwa kwenye simu

Tunategemea kamera iliyopo nyuma ya simu kuwa flat kulingana na back surface ya simuyenyewe bila kutokeza Zaidi

Tutegemee uwepo wa ‘finger print sensor’ kutokuondolewa

Tutegemea simu itakuwa na rangi nyingi sio chache

Tutegemee simu nyembemba na nyepesi kuzidi zilitolewa kabla yake

Hizi ni baadi ya ‘design feature’ mbalimbali ambazo tunategemea kuviona katika ujio mpya wa simu hii ya Phantom. Ingawaje kama Tecno itaweza kuongeza design features nyingine tofauti na hizi tunazozitarajia itapendeza na itakuwa zaidi.

 

LIVE: Rais Magufuli katika maadhimisho ya Nyerere Day na Kilele cha Mwenge wa Uhuru Zanzibar
Mama wa mgombea urais Rwanda adai kunyanyaswa

Comments

comments