Ofisi za kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki vituo vya Star TV na Radio Free Africa (RFA) leo zimefungwa na TRA kwa deni la Sh4.5 bilioni-MCL.

Mamlaka ya mapato Tanzania inadaiwa kuifungia Radio Free Africa ya Mwanza inayomilikiwa na Antony Dialo kutokana na kudaiwa kodi kubwa.

TRA wamewaondoa studio wafanyakazi wote na kuifunga radio hiyo. Kwa sasa ukiwasha radio utasikia matangazo ya kiingereza ya BBC.

Diallo ni mwenyekiti wa CCM Mwanza.

Rama Dee awaomba msamaha mashabiki, Clouds FM kuhusu ‘Anti-Virus’
Mwapachu aamua kustaafu Acacia