Rais Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Félix Tshisekedi ameandamwa na mabango makubwa yaliyoandikwa lugha ya kiingereza na Kifaransa na kubandikwa kwenye barabara huko Jerusalem.

Rais Tshisekedi yuko Israel kwa ziara ya siku tatu, iliyotarajiwa kuhitimishwa alhamisi ikiwa ni ziara ya kwanza kwa kiongozi wa Congo kutembelea taifa hilo tangu mwaka 1985.

Haiko wazi mabango hayo yanakuja kutokana na jambo lipi na Rais Tshisekedi mwenyewe hajazungumzia hilo pia.

Ugumu wa ajira ulisababisha niichukie Elimu
Museveni akana ugaidi Uganda