Chama cha Wafanyakazi Tanzania, (TUCTA) kimesema kuwa kupanda kwa mishara ya watumishi inategemea vikao vya bodi na si vingine.

Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho, Jones Majura alipokuwa akizungumza na Dar24 Media, ambapo amesema kuwa bodi bado hazijakaa hivyo zikishamaliza vikao vyake mishahara itapandishwa.

“Suala hili lisichukuliwe kisiasa maana suala hili linategemea bodi na si vingine, watu wamelichukulia suala hili kivingine kabisa,”amesema Majura

 

UNHCR vyuma vyakaza, wafadhili wakunja mikono
Video: 'Kina Mbowe wamefungwa', Ole wake mwanafunzi chuo kikuu atakaye goma: JPM

Comments

comments