Taasisi ya Twaweza imekanusha taarifa zilizoandikwa na gazeti moja kuwa Mkurugenzi wake, Aidan Eyakuze ni mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

Taarifa hiyo imeeleza kuwa mkurugenzi wa Taasisi hiyo, Aidan Eyakuze si mwanachama wa Chadema na hajawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa nchini.

Hata hivyo, Wameongeza kuwa Twaweza ni taasisi huru isiyofungamana na chama chochote cha kisiasa hivyo taarifa iliyoandikwa na gazeti hilo.

Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 14, 2018
DC Mjema aukataa mradi wa Maji

Comments

comments