Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA leo mchana limepanga ratiba ya hatua ya robo fainali ya michuano ya Europa League, baada ya kukamilika kwa michezo ya hatua ya 16 bora hapo jana.

Michezo ya hatua ya robo fainali imepangwa kuchezwa April 5 na kurudiwa juma moja baadae.

Wawakilishi pekee wa England katika michuano ya Europa League Arsenal, wamepangwa kucheza dhidi ya CSKA Moscow ya Urusi.

Arsenal wataanzia nyumbani Emirates Stadium na kwenda kumalizia nchini Urusi

Ratiba kamili ya robo fainali ya Europa League

RB Leipzig vs Marseille

Arsenal vs CSKA Moscow

Atletico Madrid vs Sporting CP

Serikali yanunua vichwa vya treni vilivyokwama bandarini
Liverpool kukutana uso kwa macho na Man City