Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA, limepanga ratiba ya michezo ya hatua ya mtoano, ambayo itaamua timu 4 zitakazojiunga na timu nyingine 20 kwenye fainali za mataifa ya barani humo za mwaka 2016.

UEFA, amepanga ratiba hiyo ikiwa ni sehemu ya kukamilisha michezo ya kufuzu, baada ya kushuhudia harakati za hatua ya makundi zikimalizika juma lililopita na baadhi ya timu kusonga mbele.

Mataifa yaliyohusika katika upangaji wa ratiba ya hatua hiyo ya mwishoni ni Hungary, Norway, Slovenia, Ukraine, Sweden, Denmark, Bosnia pamoja na Ireland ya kaskazini.

Michezo ya hatua ya mtoano ambayo itakua ya mwisho, imepangwa kuchezwa kati ya novemba 12-14 na michezo ya mkoano wa pili itachezwa kati ya novemba 15-16.

Ukraine V Sweden

Sweden V Denmark

Bosnia V Ireland

Hungary V Norway

Kiongozi Wa Ngazi Ya Juu Al Qaeda Auawa
Kamati Ya Taifa Stars Yakutana Na Wadau Wa Soka