Wizara ya afya nchini Uganda imethibitisha maambukizi mapya 8 ya virusi vya Corona baada ya sampuli 2246 kufanyiwa vipimo na kufanya idadi ya walioambukizwa nchini humo kufikia 97.

Taarifa ya Wizara hiyo ya afya imeeleza kuwa watu 6 miongoni mwao ni Madereva, 5 wanaotoka mpaka wa Kenya na mmoja kutoka mpaka wa Mtukula na Tanzania, huku wawili wakiwa ni raia wa Uganda.

Moka hivi sasa watu waliopona ugonjwa wa Corona nchini humo imefikia watu 55.

Makonda atangaza vita wanaouza sukari bei ghali

Uhispania yaruhusu watu kutoka nje kwa mara ya kwanza

Wafanyabiashara sokoni kuuza kwa zamu kuepuka Corona
Ndege ya vifaa vya covid-19 yaanguka Somalia sita wafariki