Waswahili wanasema kuwa kimya kingi kina mshindo. Maneno haya yanaweza kuwa na mshiko kwa msanii Hamis Amani ‘Wanee’ kutoka pande za Kaskazini Manyara Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kuachia wimbo?

wanee

Baada ya Wanee  kuamua kuzaliwa upya kwa mara ya pili ambaye kwa Sasa Father Jams ‘Producer Freezo’ ameamua kumrudisha kwenye mstari baada ya kukaa kimya muda  taarifa ikufikie kwa sasa ufanyaji kazi wake wa zamani na sasa umebalilika.

Baada ya kufanya remix ya je utanipenda ya Diamond platnumz na kufanya vizuri katika mikoa ya kaskazini mpaka kanda ya kati na sasa wanee anakuja na kitu kipya kutoka kwa mtayarishaji Freezo.

wane.

Msanii huyo anatarajiwa kuachia wimbo mpya leo ambapo majibu ya maswali yote kutoka kwa mashabiki  yatajibiwa baada ya ngoma hiyo kutoka, huku baadhi ya maswali yakiwa  je ngoma ya ”Ubaya” itakayoachiwa itamrudisha kupambana na ushindani wa soko la muziki?.

 

Mguu Sawa: Profesa Jay arudi kivingine na mchanganyiko wa Singeli
Majibu Ya Vipimo VYa Demba Ba Yawekwa Hadharani