Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anakagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni siku ya pili ya muendelezo wa ziara yake ya kikazi Mkoani Manyara na tayari amezindua barabara za Mitaa za Mji wa Babati kilometa 8.1 na kuahidi kujenga bararaba ya lami ya kilometa tano zaidi katika Mji huo.

Vihenge na Maghala ya kisasa vimezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Babati Mkoani Manyara.
Baadhi ya Wananchi wa Babati wakiwa kwenye ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Mkoani Manyara.
Wananchi wa Babati wakiwa wameshikilia picha za Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Mkoani Manyara.
Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Babati wakiwa kwenye ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Mkoani Manyara.
Vihenge na Maghala ya kisasa vimezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan, Babati Mkoani Manyara.
Karua amshukia Ruto sakata Mahindi ya GMO
Mashuhuda ajali ya Daladala Mbezi 'wafunguka'