Kitimtim cha michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya kiliendelea tena usiku wa kuamkia hii leo kwa miamba 16 kushuka viwanjani kwa lengo la kusaka point tatu muhimu.

Katika michezo hiyo huenda ikawa rekodi ya kipekee imeandikwa kufuatia mabao mengi zaidi kufungwa kwa usiku mmoja, huku asilimia kubwa ya timu zilizokua ugenini zikipoteza michezo yao.

Jumla ya mabao 28 yalifungwa katika michezo ya usiku wa kuamkia hii leo.

Michuano hiyo ambayo bado ipo katika hatua ya makundi ilihusisha michezo ya kundi A hadi kundi D.

UEFA CHAMPIONS LEAGUE – KUNDI A

Arsenal 6-0 Ludo Razgd

Paris St G 3-0 FC Basel

 

UEFA CHAMPIONS LEAGUE – KUNDI B

Dynamo Kiev 0-2 Benfica

Napoli 2-3 Besiktas

 

UEFA CHAMPIONS LEAGUE – KUNDI C

Barcelona 4-0 Man City

Celtic 0-2 Bor Monchengladbach

 

UEFA CHAMPIONS LEAGUE – KUNDI D

Bayern Munich 4-1 PSV Eindhoven

FC Rostov 0-1 Atl Madrid     Full time

Wekundu Wa Msimbazi Simba Wasisitiza Ushindi
Jamvi La AFCON 2017 Lakunjuliwa, Herve Renard Apewa Mtihani