Vanessa mdee na rotimi wavunja ukimya, wathibitisha kuwa wanatarajia kupata mtoto.

Kupitia ukurasa wake instagram vanessa ameweka picha kadhaa zinazo muonyesha akiwa na mpenzi wake @Rotimi na kuandika ujumbe unaosomeka caption “he greatest gift of all, THANK YOU JESUS for choosing us – it is a true true honor. We are overjoyed

Isaiah 55:2 – Al your children shall be taught by the LORD, and great shall be the peace of your children”

Akiwa anamaanisha “Zawadi kuu kuliko zote, asante yesu kwa kutuchagua – ni heshima ya kweli. Tumefurahi sana Isaya 55: 2 – watoto wako watafundishwa na bwana, na amani ya watoto wako itakuwa kubwa.

Wawili hao kwa pamoja wamedhirisha kiwango cha furaha waliyonayo kwa kupitia post mbali mbali ambazo wamekuwa wakiziweka kwenye mitandao yao ya kijamii.

Ujauzito huu wa vanessa utakuwa wa mtoto wa kwanza tangu wameingia kwenye mahusiano rasmi.

Mpango amuwakilisha Rais Samia Africa- CARRICOM Summit
Katibu Wizara ya Afya afanya mazungumzo na Mkurugenzi Benki ya Maendeleo Ujerumani