Mchezaji wa zamani wa Yanga, Abdul Maneno amesema kosa kubwa walilofanya uongozi wa Yanga ni kumuuza aliyekuwa mshambiliaji wao raia wa DR Congo, Heritier Makambo kitendo ambacho kimesababisha safu ya ushambuliaji ya timu hiyo kuwa butu.

Maneno ambaye enzi zake aliichezea timu hiyo kwa mafanikio ambapo alinyakua mataji manne pia maisha yake ya soka yalianzia kwenye timu ya mtaani kwao Mwembechai jijini Dar es salaam ya Kagera Rangers na kuelekea kwenye baadhi ya timu mbalimbali ikiwemo Sigara Fc, Kilimanjaro, Bandari Fc, Bohari pamoja na Moro United.

Bobi Wine achoropoka mikononi mwa polisi kushiriki tamasha alilopigwa marufuku
TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa kwa siku 5