Ofisi ya katibu Mkuu wa Chama cha ACT wazalendo imetangaza tarehe rasmi ya kuanza kuchukua fomu za kuomba nafasi mbalimbali za uongozi wa ndani ya chama kwa nagzi ya Taifa, ngome za vijana, wanawake na wazee.

Katika taarifa iliyotolewa leo Januari 27, 2020 na kaimu katibu mkuu wa chama hicho, Doroth Semu imeeleza vigezo vya wagombea kwa kila nafasi na viambatanishi vyake…, Bofya hapa kutazama

Kipa Yanga: "Simba walinifuata, nitafute kadi ya njano, wanipe IST mpya"
China kujenga hospitali ya wagonjwa wa Corona ndani ya siku sita