Video: Aeshi Hilaly hakubaliani na serikali kuwakata wabunge posho zao
6 years ago
Serikali imetangaza kukata viinua mgongo na posho za wabunge katika kukusanya kodi wakati, Hayo yamesemwa na Waziri wa fedha na mipango Philip Mpango wakati akisoma bajeti kuu. Mbunge wa Sumbawanga mjini Aeshi Hilaly amepinga kitendo hicho na kuiomba serikali iondoe mpango huo.
Warning: Invalid argument supplied for foreach() in /srv/users/serverpilot/apps/dar24/public/wp-content/plugins/social-networks-auto-poster-facebook-twitter-g/inc/nxs_functions_wp.php on line 166