AG aruhusu viongozi kufikishwa kortini, Asema katiba ya nchi inaruhusu kila mtu ana wajibu wa kufuata na kuitii katiba ya nchi, Richmond yageuzwa mtaji wa kisiasa, Wakuu wa wilaya wapasua vichwa vya wabunge…,  hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 22, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Mahakama Yamuachia Huru Mtuhumiwa Wa Richmond
Magazeti ya Tanzania leo Aprili 22, 2017